Created by Swahili Chap Chap
about 5 years ago
|
||
Nina kiu / Nina kiu sana!
Nasikia kiu / Nasikia kiu sana!
Tafadhali nipatie maji ya kunywa.
Tafadhali niletee maji ya kunywa.
Tafadhali nipatie kinywaji baridi.
Tafadhali niletee kiburudisho.
Nina njaa / Nina njaa sana!
Nasikia njaa / Nasikia njaa sana!
Tafadhali nipatie chakula.
Tafadhali niletee chakula moto.
Kichwa kinaniuma.
Unazo dawa za kichwa?
Tafadhali nipatie dawa.
Naweza kutumia choo, tafadhali?
Tafadhali nipatie chenji.
Ninataka kwenda hospitali.
Unaweza kunipeleka hospitali, tafadhali?
Nipunguzie bei, tafadhali. Mimi rafiki yako.