Creado por Swahili Chap Chap
hace alrededor de 5 años
|
||
Pregunta | Respuesta |
Nina kiu / Nina kiu sana! | I am thirsty / I am very thirsty! |
Nasikia kiu / Nasikia kiu sana! | I am thirsty / I am very thirsty! |
Tafadhali nipatie maji ya kunywa. | Get me some water, please. |
Tafadhali niletee maji ya kunywa. | Bring me some water, please. |
Tafadhali nipatie kinywaji baridi. | Get me a cold drink, please. |
Tafadhali niletee kiburudisho. | Bring me some refreshment, please. |
Nina njaa / Nina njaa sana! | I am hungry / I am very hungry! |
Nasikia njaa / Nasikia njaa sana! | I am hungry / I am very hungry! |
Tafadhali nipatie chakula. | Get me some food, please. |
Tafadhali niletee chakula moto. | Bring me some hot food, please. |
Kichwa kinaniuma. | I have got headache |
Unazo dawa za kichwa? | Do you have headache medicine? |
Tafadhali nipatie dawa. | Get me some medicine, please! |
Naweza kutumia choo, tafadhali? | May I use the restroom/toilet, please? |
Tafadhali nipatie chenji. | Get me some change, please. |
Ninataka kwenda hospitali. | I would like to go to hospital. |
Unaweza kunipeleka hospitali, tafadhali? | Could you take me to hospital, please? |
Nipunguzie bei, tafadhali. Mimi rafiki yako. | Give me some discount, please. I’m your friend. |
¿Quieres crear tus propias Fichas gratiscon GoConqr? Más información.