Criado por Swahili Chap Chap
mais de 5 anos atrás
|
||
wiki
siku
Jumamosi
Jumapili
Jumatatu
Jumanne
Jumatano
Alhamisi
sometimes pronounced as Alkhamisi
Ijumaa
TIME
It’s interesting to note that in the Swahili culture the day starts at sunrise. This is in contrast to the Arab world where the day starts at sunset and in the Western world where the day starts at midnight. Sunrise in East Africa happens everyday at around 6:00 a.m. That’s because East Africa falls right on the Equator. So, 6:00 a.m. is “0:00 morning” Swahili time. 7:00 a.m. is “1:00 morning” (saa moja asubuhi) Swahili time.
alfajiri
asubuhi
mchana
alasiri
jioni
usiku
karne
saa
siku/siku
keshokutwa
juzi
mchana
magharibi
mapema
kipupwe
saa/saa
usiku wa manane
baadaye/halafu
dakika/dakika
mwezi/miezi
usiku
sasa
sasa hivi
wakati huu
wakati ule
haraka
msimu
sekunde
polepole
vuli
ghafla
kaskazi
mapambazuko
machweo
wakati/saa
leo
kesho
saa
wiki/wiki
Saa ngapi?
masika
mwaka/miaka
jana
Saa mbili kamili asubuhi
Saa mbili barabara
Saa tatu unusu asubuhi
Saa sita mchana
Saa saba na dakika kumi na sita mchana
Saa tisa kasoro dakika kumi na sita mchana
Saa tisa na dakika ishirini na tano alasiri
Saa kumi na mbili na robo jioni
Saa mbili kasorobo usiku
Saa tatu kasoro dakika moja usiku
Saa tano na dakika moja usiku
Saa sita usiku
Saa nane na robo usiku
saa kumi na moja na dakika tatu alfajiri
Saa kumi na mbili na robo asubuhi
Saa moja kasoro dakika kumi asubuhi